Reading Session na Enock Maregesi

Details

Type of event: Social Club
24-03-2017 – 24-03-2017 | Dar Es Salaam
Event Start Date: 24-03-2017 16:00
Event End Date: 24-03-2017 19:00
Description

Soma inapenda kuwaalika wapenzi wote wa vitabu na fasihi kujumuika na Mwandishi Enock Maregesi kwenye Reading Session ya kitabu chake cha Kolonia Santita. Kitabu kilishinda tuzo ya Mabati-Cornell Kiswahili Prize for African Literature 2015. Kitabu kinapatikana Soma Bookshop. Ili tuweze kushiriki kwa ufasaha kwenye mazungumzo ya kukijadili kitabu hiki kilichoandikwa kwa weledi mkubwa, ni vyema ukanunua nakala yako na kuisoma kabla ya tarehe ya Reading Session.

Wote mnakaribishwa, na mnaombwa kuwaalika wengine.

Location / Direction:
Dar Es Salaam
Kinondoni, Mikocheni
Venue:Soma Book Café,
Mlingotini Close, Regent Estate,