OCT 29 – TEST OF MEXICO IN COLLABORATION WITH COCODO BAND

Details
Sunday, October 29 2017
 at 11 AM – 11 PM
Description 
Karibu October 29 ndani ya test of Mexico restaurant MASAKI SLIPWAY ROAD, njoo tucheze traditional dance na familia yako kuanzia saa tano asubuhi mpaka mpaka saa nne usiku. Uku vyakula vitamu kutoka kwao test of Mexico vikinogesha siku yako
Location
Masaki, Dar Es Salaam, Tanzania