Misambwa by Agxon – Exhibition Opening

Details
17 August 2017
Thursday  at 6:30 PM -9:30 PM
Description 

Agxon creates abstract and expressive portraits with materials that he collects while walking on the shores of Lake Tanganyika. Agxon initially worked in beaten copper, a practice common in his native region of Katanga, before moving into abstract expression using wood, wires, and more recently pebbles. His international art career was suddenly interrupted when he was appointed chief of the Tumpa community. Since then, his practice reflects his two roles of artist and chief.

Agxon huchonga sanaa za kinadharia na zenye picha dhahiri kwa kutumia nyenzo anazozikusanya kutoka kwenye fukwe za Ziwa Tanganyika. Mwanzo alikuwa akifanya kazi na shaba, mtindo wa ufundi maarufu huko Katanga, kabla ya kuanza kufanya kazi kinadharia kwa kutumia mbao, nyaya, na hivi karibuni mawe. Kazi zake za sanaa za kimataifa zilisitishwa na kuteuliwa kwake kuwa Chifu wa jamii ya Tumpa. Tangu hapo, kazi yake ya sanaa inaonesha cheo na majukumu yake kama msanii na Chifu.

Location
Nafasi Art space
eyas  Road Mikocheni B