JULIANA MUSICAL TEATRE. DON’T MISS THIS.

Details

8 september 2017

7 MP -11 PM

 

Description

Juliana musical theatre. Inayohusu jinsi gani ukimwi uliingia Tanzania kutokea Uganda ulioletwa na wafanya biashara wa mashati ya maua maua almaarufu mashati ya Juliana mara tu baada ya vita ya Eid Amini Dada. Karibu 2 Enjoy hii Show!!
Ijue historia, pata burudani na elimu. #TANZANIABILAUKIMWIINAWEZEKANA

 

Location

The little Theater club, Dar es salaam

Tanzania