Hekima Talk: Jifunze Kuwekeza Soko la Hisa

Details

Type of event: Conferences & Seminars
08-04-2017 – 08-04-2017 | Dar Es Salaam
Event Start Date: 08-04-2017 09:00
Event End Date: 08-04-2017 13:00
Description

Je unafahamu maarifa yako sokoni ndio yanaamua uwe na kipato kiasi gani? Fursa hii ipo ndani ya malango yako, njoo ujifunze kufanya uwekezaji soko la hisa . . . mawakala watakuwepo kuandikisha BURE wanaotaka kuanza MARA MOJA!

Vodacom imetangaza kuuza hisa zake kwa Tsh 850/= per share, punde watafuata Tigo na Airtel. Je unajua jinsi ya kuwekeza na kutengeneza donge nono kutumia soko la hisa Tanzania?

Mwalimu Emilian Busara, mbobezi kwenye kuwekeza soko la hisa, atakuja kufundisha jinsi gani utaweza kuanza mara moja kuwekeza na kutengeneza faida kwa soko la hisa.

Tanzania Investment Bank Rasilimali (TIB) wakala wa soko la hisa, watakuwepo kuandikisha wote wanaopenda kuweza kununua na kuuza sokoni DSE (Dar Es Salaam Stock Exchange). Utakachohitaji ni: 1. Picha, passport size na 2. Copy ya kitambulisho.

Karibu GEPF House, Jmosi Tar 8 April Saa 3 asubuhi…FREE HAKUNA KIINGILIO.