FEB 10 Siti & The Band at Sauti za Busara 2018

Details
 February 10, 2018
Saturday, at 8:20 PM – 9:10 PM
Description 
Get ready for our performance at Sauti za Busara 2018! We are looking forward to present you our first Album “Fusing The Roots” at the Festival we grew up with! Be prepared for some special guests as well!
_____________
Jitayarisheni kwa show yetu ya Sauti za Busara 2018! Tunafurahia kuwakilisha albamu wetu wa kwanza inayoenda kwa jina ya “Fusing the Roots” kwenye tamasha ambacho tulikuwa nacho! Jitayarishe pia kwa wageni maalum kwenye jukwaa!

Location

Sauti za Busara

Old Fort, Stone Town, Zanzibar Urban/West, Tanzania