DEC 9 – Nafasi Arts Festival 2017

Detail
 9  December  2017
Saturday,at 10 AM – 11:59 PM
Descriptions
On December 9th, 2017 (Independence day!) 10am-12midnight, Nafasi Art Space will be hosting their Second Annual Nafasi Arts Festival, right here at our premises (Mikocheni B, Eyasi Road, ITV). The whole day will be packed full of fun events celebrating Arts and Culture in Tanzania. We will have events including Art Exhibitions, ChapChap Public Art workshops, Theater Performance, Open Studio Walks, Affordable Art Markets, Food and Drinks, and the year’s final edition of Wikiendi Live!, where there will be amazing live performances from different East African musicians and bands like Mandela of Sarabi from Kenya, Ze spirit band from Bagamoyo and Shine dance group from Dar es salaam.

This event is absolutely FREE and All ages are welcome.

Mnamo tarehe 9 Decemba (siku ya uhuru!) saa nne subuhi hadi saa sita usiku, Nafasi Art Space (iliyopo Mikocheni B, Eyasi Road, ITV) itafanya Tamasha la pili la Mwaka ambapo siku nzima itakua ya kusherekea Sanaa na Utamaduni nchini Tanzania.Kutakua na Maonesho ya Sanaa, mafundisho ya sanaa ya ChapChap, Maigizo ya jukwaani, Matembeyi ya Studio za wasanii, Mauzo ya sanaa za bei nafuu, Chakula na vinywaji, na Tamasha la muziki live la malizia mwaka Wikiendi Live! ambalo
litakuwa na wasanii mbalimbali kutoka Afrika Mashariki watakaopiga mziki jukwaani kama Mandela wa Sarabi toka Kenya, Ze spirit Band kutoka Bagamoyo na Shine dance group kutoka dar es salaam.

Tukio hili ni BURE kabisa na nyote (wakubwa na watoto) mnakaribishwa!

Location
Nafasi Art Space

Plot 41, Eyasi Road, Mikocheni B,
Light Industrial Area, Dar es Salaam