Anaye wavalisha Ma Star creative work

MJUE WINNIE MBUNIFU ANAYE WAVALISHA MA STAR WA KIKE NA KAZI ZAKE

 Ebu check hiki kigauni kilivyotisha
 Whaooo mzigo mwengine huuhapa unaweza hata kuingia nao club na bado ukaonekana bomba sana
 Hiki je chaukweli sana unaweza kwenda nacho hata kokote kwenye matamasha ya kiheshima au hata harusi na bado ukaonekana umefunika mbaya kwakuwa hautomkuta mtu mwengine kavaaa kama wewe
 verry nice dress
 Wonderfull dress
 whaooooo!
Hizi ni kazi tofauti anazozibuni yeye mwenyewe huu ni wakati wetu vijana hili kuonekana tofauti inabidi kumtumia huyu binti kutubunia nguo zetu za kipekee kabisa.