9th Harusi Trade Fair

Details
Event types:Tradeshows & Fairs
Start at:2017-05-12 10:00
End at:2017-05-13 19:00
Description

Kwa mara nyingine tena, Maonesho ya Tisa ya Bidhaa na Huduma za HARUSI yatafanyika jijini dar es salaam

HARUSI TRADE FAIR itafanyika tarehe 12 na 13 Mei kuanzia saa nne asubuhi hadi saa moja njioni katika Ukumbi wa Golden Tulip Oysterbay, karibu ukutane na wapambaji, ma-MC, wapishi, makeup artist, watengeneza keki, ma-dj,wabunifu,wamiliki ukumbi za shughuli na watoaji huduma mbali mbali

Tembelea maonesho ya Harusi Trade fair na jipatie fursa ya kujishindia zawadi kemkem

Harusi trade fair imeandaliwa na 361 Degrees na kudhaminiwa na Golden Tulip Hotel, Tv one, Kuambiana Investment, Muzny audio & vision, Vayle Springs na EFM RADIO.

Location
Kinondoni,
Masaki Dar Es Salaam